Ridhiwani akutana na kampuni ya Qatar kujadili ajira za madereva wa Tanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amekutana na ujumbe kutoka Kampuni ya Usafiri ya Serikali ya Qatar (Mowasalat), Mei 31, 2025, jijini Dar es Salaam Kwa lengo la kujadili kuhusu ajira za madereva wa magari nchini Qatar. Akizungumza katika kikao hicho, Ridhiwani amesema dhamira…
