Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame ambayo inajenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matumizi ya vituo vya Kujazia Gesi kwenye Magari (CNG) na kwenye viwanda. Mazungumzo hayo yamefanyika…
