WhatsApp Image 2023 11 24 at 12.58.13

Afrika tujitegemee kifedha mabadiliko tabia ya nchi: Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni muda muafaka kwa Afrika kujitegemea katika fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Rais Samia amesema hayo katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili Masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Mkoani Arusha ulioandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki….

Soma Zaidi
dede

EU yatoa ruzuku 9bn kwa ajili ya mradi wa Nishati Safi Tanzania

Inakadiriwa Watanzania zaidi ya asilimia 80 wanatumia vyanzo vya nishati ya kupikia  ambavyo si salama na vyenye madhara ya kiafya, kiuchumi na kimazingira. Tanzania imelenga kuboresha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kutokana na umuhimu wa afya za Watanzania na Mazingira. Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akimuwakilisha Mgeni…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks