Sekta ya nishati yajadiliwa nchini Singapore
Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji katika sekta ya nishati ili kuongeza kasi ya uzalishaji, usambazaji na uunganishaji wa wateja katika Sekta ya Nishati nchini. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema hayo Oktoba 21, 2024 nchini Singapore wakati akishiriki mjadala kuhusu nishati ambao umeshirikisha viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Madini na…
