Kushiriki maonesho China Dola 3,000
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania wanaotaka kushiriki Maonesho makubwa ya Kimataifa ya biashara nchini China yajulikanayo kama Canton Fair. Kwa mujibu wa TanTrade gharama za kushiriki ni Dola za Marekani 3,000 kwa kila mshiriki. Gharama hizo zitahusisha usafiri wa ndege daraja la uchumi, usafiri wa ndani (ground…
