Taasisi za uhifadhi zatakiwa kulinda maeneo kwa teknolojia
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazojishughulisha na masuala ya uhifadhi kuhakikisha zinaweka mikakati ya kulinda maeneo ya hifadhi kwa teknolojia. Ameyasema hayo Machi 29,2025 alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Arusha wakati wa ziara ya kikazi ambapo alikagua mradi…
