Mradi wa 19bn wa vihenge na maghala wazinduliwa
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa vihenge na maghala ya kuhifadhia nafaka mkoani Manyara wenye thamani ya bilioni 19. Vihenge na maghala hayo yana uwezo wa kuhifadhi tani 40,000 za nafaka. Akizungumza kabla ya kuzinduliwa kwa maghala hayo, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema ujenzi wa mradi huo ni mpango mkakati wa serikali katika…
