Chuo Kikuu Mzumbe chashauriwa kufadhili wahitimu
Wito umetolewa kwa uongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe (MU) kuanzisha mfuko wa ufadhili wa wahitimu wa Chuo hicho “ Alumni Scholarship Scheme”. Uazishwaji wa mfuko huo utawasaidia Watanzania ambao wana sifa ya kusoma katika ngazi ya Chuo Kikuu lakini kutokana na ukosefu wa fedha wanakosa hiyo fursa muhimu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,…
