10m kwa mshindi wa Tuzo ya Taifa ya Mwl Nyerere
Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi mahiri kutoka nchi mbalimbali duniani. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema hayo Machi 29, 2023 kisiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Ameeleza kuwa tuzo…
