Zitto ataka mwendokasi itumie gesi asilia
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Zitto Kabwe ameitaka DART kuingia mkataba mara moja na TPDC kubadilisha Mabasi ya Mwendokasi kutoka kutumia Diseli na kutumia gesi asilia (CNG). Kabwe amesema hayo baada ya chama hicho kuichambua ripoti ya CAG. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kabwe amesema “katika Ripoti ya Mwaka 2021/2022,…
