Kongamano la kilimo kukutanisha wadau 3000
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewaalika Watanzania kushiriki katika kongamano la Kimataifa la Mifumo ya Chakula barani Afrika. Kongamano hilo litawaleta pamoja wadau zaidi ya 3000 wa kilimo duniani ambapo kutakuwa na wawasilisha maada 350 kutoka nchi zaidi ya 70. “ Mwaka huu taifa letu lilishiriki katika kinyang’anyiro kwa ajili ya kutaka kuaanda tukio kubwa…
