Biashara ya mtandao na changamoto ya utapeli
Umewahi kuwaza kufanya biashara ya mtandaoni?. Biashara ya mtandao ni biashara inayokuwa kwa kasi. Kwa sasa watu wengi wakiwemo vijana wamejikita katika biashara ya mtandao ili waweze kujikwamua kimaisha na kujipatia kipato. Swala la ajira bado limekuwa changamoto ambapo vijana wengi wanahitimu elimu kwa ngazi mbalimbali lakini ajira zilizopo ni chache ukilinganisha na idadi ya…
