Screen Shot 2025 02 17 at 4.14.35 PM

Serikali ya Tanzania yasema viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya uchenjuaji madini ya Shaba ikiwemo kiwanda cha Shengde Precious Metal Resources Co. Limited kinachoendelea kujengwa katika eneo la Mahungu Kata ya Nala Jijini Dodoma vinatarajiwa kuwa mkombozi wa wachimbaji wadogo wa Madini ya Shaba nchini. Waziri Mavunde amebainisha hayo Februari 16, 2025 baada ya…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 17 at 11.49.58 AM

Mgodi wa Buzwagi Kahama kufungwa, kusitisha uzalishaji wa madini ya dhahabu

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amesisitiza kuwa ufungaji wa mgodi wa Buzwagi hautaathiri shughuli za kiuchumi katika Wilaya ya Kahama, kwani mipango madhubuti imewekwa kuhakikisha kuwa eneo hilo linaendelea kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kupitia miradi mipya ya uwekezaji na maendeleo. Amesema hayo Februari 16, 2025 Kahama Mkoani Shinyanga wakati…

Soma Zaidi
sawaqq

Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifakapo 2034

Inategemewa kuwa baada ya miaka tisa kutoka sasa (2025), asilimia 80 ya Watanzania watakuwa wanatumia nishati safi ya kupikia. Hiyo, itakuwa ni matokeo ya utekelezaji wa Mkakati wa Nishati safi ya Kupikia kitaifa unaosimamiwa na Kamati ya wataalam iliyoundwa na Maafisa Waandamizi kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali. Kamati hiyo imefanya kikao kazi katika Ofisi…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 01 09 at 3.05.15 PM

Kampuni za Japan zakaribishwa Tanzania

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali za uzalishaji kwa faida ya pande zote mbili. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Yasushi Misawa ambapo pamoja na mambo mengine…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks