Wadau mitandao ya kijamii waombwa kuelimisha umuhimu wa kulipa kodi
Wadau wa Mitandao ya Kijamii wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha jamii umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti halali. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Fedha Benny Mwaipaja ametoa wito huo wakati akifungua Kongamano la wadau wa mitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha Mkoani Morogoro unaofanyika Oktoba 23 hadi…
