Ulimwengu unatarajia kuwa na upungufu wa chakula: Rais Samia
Ulimwengu mzima sasa unatarajia kuwa na tatizo la upungufu wa chakula jambo litakalosababisha mfumuko wa bei. “Hii ni kwa sababu ya athari za Uviko 19, vita vinavyopiganwa huko Ulaya na kubwa zaidi mabadiliko ya tabia ya nchini,” ameeleza Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo wakati akihutubia katika tamasha la utamaduni lililofanyika…
