Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji chakula Afrika
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina malengo ya kuwa kitovu cha uzalishaji chakula barani Afrika Rais Dkt. Samia amesema hayo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati akizungumza na Maafisa Ugani wa Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Ushirika Agosti 10, 2024. Amewataka Maafisa Ugani na Ushirika kuzidi kuwaelimisha wakulima njia bora za kilimo kwani Tanzania ili…
