Uwindaji wa kitalii unachangia bilioni 30
Serikali inakusanya takriban Shilingi Bilioni 30 kwa mwaka kutokana na Uwindaji wa kitalii nchini. Uwindaji huo ambao unachangia katika Pato la Taifa hususani fedha za kigeni, pia unachangia ajira rasmi na zisizo rasmi kwa jamii. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya Ushauri ya Ugawaji wa Vitalu…
