Fanyeni tafiti sekta ya wanyamapori: Chana
Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imetakiwa kutumia weledi wake kufanya tafiti na kuja na matokeo ya tafiti hizo kwa wakati ili Wizara iweze kutafuta suluhisho la changamoto zinazoikabili sekta ya wanyamapori nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hayo Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi…
