WhatsApp Image 2024 01 18 at 12.54.43 1

Halmashauri ya Mji wa Mbinga yachekelea fedha za Rais Samia miradi mbalimbali

Halmashauri ya Mji wa Mbinga imepokea jumla ya Shilingi bilioni 11.974 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Amina Seif amesema hivi karibuni kiasi hicho kilitumika kutekeleza miradi mbalimbali kwenye sekta za Elimu,  Afya, Maendeleo ya jamii, Kilimo, Utawala, Biashara na Mifugo. Ameeleza kuwa fedha hizo…

Soma Zaidi
nyy 1

Uzalishaji asali waongezeka Mbinga

Uvunaji wa asali katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga umeongezeka kwa asilimia 5.1 mwaka 2022/23 ikilinganishwa na mwaka 2021/22. Akizungumza Novemba 8, 2023 kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Amina Seif, Afisa Nyuki wa Halmashauri hiyo Gilbert Gotifrid amesema kuwa katika kipindi hicho tani za asali zilizovunwa ziliongezeka kutoka 3.9 hadi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks