Tanzania yabaini vivutio vipya vya utalii 337
Wizara ya Maliasili na Utalii katika kipindi cha mwaka 2024/2025 imebaini vivutio vipya vya utalii 337 katika Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi na Kigoma. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula alipokuwa akijibu swali la Prof. Patrick Alois Ndakidemi aliyetaka Kujua Serikali ina mkakati gani…
