Serikali yasimamisha uchimbaji madini mto Zila, Mbeya
Serikali imesimamisha shughuli za uchimbaji madini zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi cha masika na pia mpaka pale tathmini ya kitaalam ya mazingira itapokamilika juu ya shughuli za uchimbaji madini kwenye Mto Zila. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesimamisha shughuli hizo Desemba 30, 2024 katika kijiji cha…
