WhatsApp Image 2023 06 28 at 15.56.56

Serikali: hatujazuia biashara mazao ya misitu

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema haijazuia biashara ya mazao ya misitu. Imewataka wafanyabiashara wa mazao ya misitu kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kuhakikisha kuna kuwa na usawa katika biashara hiyo pamoja na matumizi endelevu ya rasilimali hiyo. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) ameyasema hayo Bungeni jijini…

Soma Zaidi
kkkk

Wakulima tumieni mitandao kujikwamua kiuchumi: TCRA

Wakulima nchini Tanzania wametakiwa kutumia fursa za mitandao katika kujikwamua kiuchumi ikiwamo huduma za masoko ya mazao wanayozalisha. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wakulima wanapoelekea kuadhimisha siku ya Wakulima (Nane Nane) kutumia mitandao ya kijamii kutangaza kilimo. Akizungumza katika banda la TCRA, mkuu wa mamlaka hiyo kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Asajile John…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks