Wataalam wa kusimamia Bajeti ya Serikali wameagizwa kutumia mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa
Wataalam wa wanaoandaa na kusimamia Bajeti ya Serikali wameagizwa kutumia mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS), kuboresha utendaji kazi katika usimamizi wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Kamshina wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Meshack Anyingisye wakati akifungua mafunzo ya Mfumo wa CBMS…
