WhatsApp Image 2023 05 23 at 13.22.54

Kamati ya Waziri Mkuu yaanza kukusanya maoni ya wafanyabiashara

Kamati maalum ya kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini iliyoundwa na Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imeanza kukusanya maoni ya wafanyabishara kutoka sekta mbali mbali jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe 14 ambapo wajumbe saba ni wawakilishi wa wafanyabiashara nchini na wajumbe wengine ni kutoka Wizara na Taasisi mbali mbali zinazohusika na biashara…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks