Serikali ya Tanzania kujenga uchumi jumuishi
Serikali inalenga kujenga uchumi jumuishi unaokua kwa kasi na unaoimarisha ustawi wa watu kwa kuboresha huduma za jamii na kupunguza umaskini wa kipato kwa mtu mmoja mmoja. Ameeleza kuwa ili kuwezesha hilo kwanza ni amani na utulivu kwenye nchi pili ni mifumo ya haki inayoeleweka na tatu ni mifumo mizuri ya kodi. “Mkusanyiko wetu leo…
