Maonesho ya kwanza ya kilimo kufanyika mazingira ya jangwa
Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka sekta ya kilimo wanaalikwa kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya mazao ya kilimo yatakayofanyika Doha- Qatar. Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) imesema inaratibu ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo yajulikanayo kama Horticulture Expo Doha 2023. “Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka sekta ya kilimo wanaalikwa kushiriki…
