wwee

Tanzania ndio eneo maridhawa zaidi kwa utalii wa safari duniani

Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania imeibuka kuwa eneo linaloongoza zaidi duniani kwa utalii wa safari (hasa za kuona wanyama wa porini) ikiyashinda mataifa mbalimbali duniani ikiwemo nchi za Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Tuzo za Utalii Duniani (World Travel Awards) zilizotolewa usiku wa kuamkia Novemba 24, 2024 kisiwani Madeira, Ureno. Zikitambulika kuwa sawa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 20 at 13.04.14 1

Wahasibu wanawake 300 wanolewa

Takribani wahasibu wanawake 300 kutoka katika Halmashauri mbalimbali wamepatiwa mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma. Katika ufunguzi wa mafunzo hayo kwa wanawake wahasibu kutoka kwenye mafungu na Halmashauri iliyofanyika jijini Dodoma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Katibu Mkuu Dkt. Natu El-maamry Mwamba amesema wahasibu hao wametakiwa kusimamia…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 25 at 17.18.30

Dkt. Kiruswa awataka wananchi Rukwa kuomba leseni za uchimbaji mdogo wa madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wananchi wa mkoa wa Rukwa kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini kwa kuomba Leseni za Uchimbaji Mdogo ili waweze kushiriki kikamilifu katika uchumi wa madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo leo, Oktoba 24, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Zimba na Misheni vilivyoko katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks