Usafi wa mazingira ni muhimu kwa malezi ya afya ya watoto
Kipindi cha utoto wetu ndio mda wa kujifunza. Hapa ndipo akili inapevuka, tunajifunza lugha, na hata namna bora ya kutatua matatizo tunayokabiliana nayo. Katika kipindi hiki, mazingira anayokua mtoto yanaweza kuathiri sana ukuaji wa ubongo, tabia na hata ustawi wa kimwili. Utafiti unaonyesha kwamba faida za kiuchumi kwa uwekezaji katika ukuaji wa watoto na elimu…
