Chai yote kuuzwa kwenye mnada wa Tanzania
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa maelekezo kwa wakulima wadogo, wakubwa na wanunuzi wote wa chai kuwa chai yote ya Tanzania haitaruhusiwa kuuzwa nje ya utaratibu wa mnada wa Tanzania. Amesema hayo akiwa ziarani Mkoani Tanga wakati akizindua Kiwanda cha Chai Hai (Organic Tea) cha Sakare kilichopo Bungu wilayani Korogwe. Mnada wa chai kwa mara…
