Magari 2,000 hupakuliwa kila siku bandari ya DSM
Zaidi ya magari 2,000 yanapokelewa kila siku kupitia Bandari ya Dar es Salaam ambapo asilimia 60 ya magari hayo huenda nchi jirani. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kupitia Mkurugenzi wake Mrisho Mrisho amesema hayo mjini Bagamoyo. Amesema idadi hiyo inatokana na maboresho katika Bandari ikiwa ni pamoja na maboresho katika eneo lenye ukubwa mita za…
