Tanzania yang’ara utekelezaji shughuli za uwazi na uwajibikaji sekta ya madini
Serikali imesema itaendelea kuweka wazi taarifa za uwekezaji na mapato yanayopatikana katika sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia nchini kama Sheria inavyotaka na kwa kuzingatia vigezo vya Uwazi na Uwajibikaji vinavyosimamiwa na Asasi ya Kimataifa ya EITI. Hayo yameelezwa Machi 13, 2025 na Innocent Bashungwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akifungua…
