Meli ya Norway yatia nanga Tanzania na watalii 2000
Meli ya watalii ya Norwegian, inayomilikiwa na kampuni ya Norwegian Cruiseline Holdings ya Marekani, kutoka nchini Norway yenye urefu wa mita 294 imewasili katika bandari ya Dar es Salaam Januari 16, 2024 ikiwa na jumla ya wageni 2000. Kati ya hao wageni 1100 wameshuka katika bandari ya Zanzibar na kuelekea katika vivutio mbalimbali vikiwemo Ngorongoro…
