STAMICO yaja na kampeni kabambe wiki ya nishati nchini
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaalika wananchi kushiriki kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia katika Wiki ya Nishati Safi ya Kupikia ya Rafiki Briquettes yenye kauli mbiu ya “Zima Mkaa wa Miti na Kuni, washa Rafiki Briquettes” iliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Akiongea kuhusu kampeni hiyo…
