Riba ya Benki Kuu ya Tanzania kuendelea kuwa asilimia 6
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeamua kuendelea na kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) cha asilimia 6 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2025. Gavana wa BoT Emmanuel Tutuba amesema haya Januari 08, 2025 jijini Dar es Salaam mbele ya wakuu wa benki na taasisi za fedha pamoja…
