Rais Mwinyi: SMZ kushirikiana na madhehebu ya dini kuhubiri amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameleeza kuwa Serikali iko tayari kushirikiana na Madhehebu ya Imani zote kuhubiri Amani ,kudumisha Upendo na Umoja ndani ya Jamii kwani ndio Msingi wa mambo yote ya Maendeleo katika kila nyanja. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la…
