Serikali ya Tanzania yasema viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya uchenjuaji madini ya Shaba ikiwemo kiwanda cha Shengde Precious Metal Resources Co. Limited kinachoendelea kujengwa katika eneo la Mahungu Kata ya Nala Jijini Dodoma vinatarajiwa kuwa mkombozi wa wachimbaji wadogo wa Madini ya Shaba nchini. Waziri Mavunde amebainisha hayo Februari 16, 2025 baada ya…
