Tanzania yakutana na timu ya wataalamu kutoka Shirika la Umoja wa Ulaya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Umoja wa Ulaya iliyoongozwa na Mkuu wa Ushirikiano wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Marc Stalmans, katika ukumbi wa Mikutano wa Katibu Mkuu, jijini Dodoma. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni tathmini ya utekelezaji wa…
