Rais Samia ataja changamoto maendeleo ya wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema maendeleo ya wanawake yamekuwa yakiathiriwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosa rasilimali, kutengwa, kutopata haki na kutopewa nafasi katika kufanya maamuzi. Rais Samia ameyasema hayo katika Kongamano la Wanawake Vijana wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (African Women Leaders Network – AWLN) uliofanyika Zanzibar Desemba 2 hadi 4, 2022. Amesema…
