Ujenzi wa masoko kushirikisha machinga
Ili kuepuka ujenzi wa masoko usio rafiki kwa biashara, Halmashauri nchini zimetakiwa kushirikisha viongozi wa machinga wa eneo husika kabla ya kufanya ujenzi. Mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam ambae pia ni mlezi wa Machinga CPA, Amos Makalla amesema hayo akizungumza na maelfu ya Machinga kwenye Kongamano lililofanyika Ukumbi wa PTA Sabasaba. “Chukueni mawazo…
