WhatsApp Image 2024 02 13 at 14.41.28

Watanzania watakiwa kumuenzi Lowassa kwa uzalendo na uwajibikaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema namna bora ya kumuenzi Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa ni kuendelea kuyaishi maono yake ya uzalendo, uwajibikaji ili iwe dira ya kuzidi kujenga umoja na kupiga hatua za maendeleo nchini. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo wakati akitoa salamu za pole…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks