Rais Mwinyi: Zanzibar ina sera bora kwa uwekezaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka minne kwa mageuzi katika sekta mbalimbali na kuimarika kwa mifumo pamoja na kuanzisha sera bora kwa uwekezaji zinazolenga kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo katika…
