Zingatia haya kabla, baada ya kustaafu
Kustaafu ni mabadiliko makubwa na ni sehemu ya maisha anayopitia kila mwajiriwa katika taasisi ama kampuni au sehemu yoyote mtu anayopata fursa ya kufanya kazi. Watu wengi wanapostaafu hushindwa kuwa na udhibiti wa kifedha na wengi hujikuta wakishindwa kuhimili gharama za maisha baada ya kustaafu. Ili kuweza kuwa na uchumi imara wakati unapostaafu ni vizuri…
