TRA yakusanya Tsh trilioni 5.923 ndani ya miezi mitatu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema imekusanya Tsh trilioni 5.923 sawa na ufanisi wa 99.1% ya lengo katika kipindi cha robo ya mkwanza ya wamaka wa fedha 2022/23. Lengo la TRA ilikuwa ni kukusanya Tsh trilioni 5.978 kwa kipindi hicho cha Julai hadi Septemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo…
