Sekta binafsi ni mdau wa uchumi na maendeleo: Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaiangalia sekta binafsi kwa mtazamo chanya wa kuwa mdau muhimu wa uchumi na maendeleo. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo wakati akifungua Mkutano mkuu wa kumi na tano(15) wa Jumuiya ya Kitaifa ya Wafanyabiashara Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,…
