Kamati ya PAC yakoshwa ujenzi wa vihenge Manyara
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na ujenzi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara ambavyo vinasimamiwa na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). PAC ilifanya ziara Machi 18, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa PAC, Japhet Hasunga amesema kuwa lengo la ziara hiyo…
