Majaliwa: Serikali inathamini kazi inayofanywa na sekta binafsi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini kazi kubwa inayofanywa na sekta binafsi katika kuimarisha ustawi wa jamii nchini. Amesema hayo Mei 02, 2025 alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika miaka 100 na mkutano wa 100 wa Rotary International District 9214 kanda ya Tanzania na Uganda, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa The…
