WhatsApp Image 2025 03 20 at 15.50.46

 Waziri Mkuu ataka bidhaa zinazozalishwa nchini kukidhi viwango

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini zihakikishe uzalishaji wa bidhaa  zote zinazozalishwa zikiwemo za afya zinakidhi ubora unaotakiwa na kuweza kushindana katika masoko ya kimataifa. Ametoa agizo hilo Machi 20, 2025 baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mitambo ya kuzalisha oksijeni kwa matumizi ya hospitali, ambapo amesisitiza kuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks