Maandamao mfumuko wa bei yamtia matatani Kizza Besigye
Kampala. Mwanasiasa ambae pia amewahi kugombea nafasi ya urais mara nne nchini Uganda Dk. Kizza Besigye amekamatwa na polisi nchini humo. Besigye amekamatwa baada ya kujaribu kurudisha maandamano yenye jina “Muzuukuke” ikimaanisha “amka” leo Mei 23 asubuhi. Maandamano hayo yanatokana na kupanda kwa gharama za maisha. Kabla ya kukamatwa, kiongozi huyo wa upinzani alikuwa…
