Kamati ya Waziri Mkuu yaanza kutembelea mikoa
Kamati maalum ya kutatua changamoto za kibiashara nchini iliyoundwa na Waziri Mkuu Khasim Majaliwa Majaliwa imehitimisha kazi ya kukusanya maoni ya wafanyabishara kutoka sekta mbali mbali Jijini Dar es Salaam Mei 27, 2023. Akizungumza na Waandishi wa Habari Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dr.John Jingu amesema kuwa kamati hiyo imeshafanya kazi yake kwa asilimia sabini (70%)…
