Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wawekezaji nchini Japan.

Tanzania yaendelea kuishawishi Japan kuwekeza nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Amezitaja sekta hizo kuwa ni pamoja na kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA. Waziri Mkuu ameyasema hayo Mei 28, 2025 alipokutana kwa nyakati tofauti na…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 01 09 at 3.05.15 PM

Kampuni za Japan zakaribishwa Tanzania

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali za uzalishaji kwa faida ya pande zote mbili. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Yasushi Misawa ambapo pamoja na mambo mengine…

Soma Zaidi
TT

Japan kununua kilo milioni 30 za tumbaku

Kampuni ya Japan Tobacco Incorporation (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo. Ahadi hiyo na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyetembelea ofisi zao ili kuwahakikishia utekelezaji wa mazungumzo yaliyofanyika wakati wa mkutano wa TICAD…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks